'Ubunifu wa Vazi la kitenge bila Kushona / Onesho letu la mwaka 2019'

02:52 Dec 31, 2021
'Kitenge ni vazi la asili ya kiafrika ambalo uvaaji wake hautaji manadalizi makubwa ukilinganisha na mavazi mengine (western Culture), hapa utaweza kuona namna mbali mbali za ubunifu wa mavazi ya kitenge yaliobuniwa bila kushonwa ila kwa ubunifu wa ubanaji kwa kutumia pini maalum.' 
See also:

comments